chuo cha kidini

IQNA

IQNA – Chuo cha elimu ya Kiislamu kwa jina la Chuo cha Imam Muhammad Baqir (AS) kimefunguliwa rasmi katika mji wa Qani, nchini Nigeria.
Habari ID: 3481926    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja ya kuwepo fikra, tadbiri na mpango wa kina."
Habari ID: 3470198    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/15